VIDEO: Hii hapa taarifa ya uongo na Majina 9 ya watangazaji waliosimamishwa kazi TBC.|Itazame
Baada ya Tbc kurusha habari ya uongo kutoka kwenye KI BLOG kinaachoandika uzushi, udaku uongo eti rais Trump amempongeza Rais Magufuli hatua zimeanza kukuchukulia ambapo wafanyakazi tisa wa TBC wamesimamishwa kazi kufuatia kurusha habari hiyo ya uongo,Mkurugenzi wa TBC Dk Ayoub Ryoba ameliambia Gazeti la Mwananchi jana waliochukuliwa hatua ni pamoja na Elizabeth Mramba, Gabriel Zakaria, Prudence Constantin,Dorothy Mmary, Ramadhani Mpenda, Leah Mushi, Judica Losai na Alpha Wawa.
0 comments:
Post a Comment