Walimu waliompiga mwanzafunzi huko Mbeya watimuliwa chuo
Hatimaye Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Ndalichako
amewafukuza chuo walimu waliohusika na kumpiga mwanafunzi wa kidato cha
tatu wa shule ya kutwa Mbeya.
Mpaka sasa Mkuu wa Shule na baadhi ya walimu wamefikishwa katika kituo cha polisi kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment