Wednesday, 26 April 2017

Fuatilia Sherehe za Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar moja kwa moja kutoka Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Mubashara: Sherehe za Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.|Fuatilia

Soma zaidi

Thursday, 20 April 2017

Kutoka Bungeni Dodoma, Bunge la 11; Maswali na Majibu kwa Waziri Mkuu

Mubashara kutoka Bungeni: Maswali na Majibu kwa Waziri Mkuu leo April 20,2017.|Tazama

Soma zaidi

Wednesday, 19 April 2017

Kutoka Bungeni Dodoma leo April 19, 2017: Fuatilia hapa kuona yanayojiri kutoka mjengoni na leo ikiwa ni mkutano wa Saba Bunge la 11 la Bajeti kutoka Wizara mbalimbali.

Mubashara: Kutoka Bungeni Dodoma leo April 19, 2017.|Fuatilia hapa

Soma zaidi

Saturday, 15 April 2017

Mubashara: Rais Magufuli akizindua Mabweni Mapya Chuo Kikuu Cha Dar es Salam.

MUBASHARA: Rais John Pombe Magufuli akizindua Mabweni Mapya Chuo Kikuu Cha Dar es Salam.|Tazama

Soma zaidi

Wednesday, 12 April 2017

Mubashara: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe

Mubashara: Rais Magufuli akizindua ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge).|Tazama

Soma zaidi

Friday, 24 March 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John P. Magufuli, leo amewaapisha Dr Harrison Mwakyembe na Prof Palamagamba Kabudi pamoja na mabalozi kadhaa Ikulu Jijini Dar es salaam.

VIDEO: Maneno ya Rais Magufuli kwa wanahabari leo wakati akiwaapisha Mawaziri na Katibu Mkuu.|Itazame

Soma zaidi

Wednesday, 22 March 2017

Leo askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima, Dr. Josephat Gwajima amefika ofisi za Clouds Media Group kwa ajili ya kutoa pole kufuatia tukio la mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kuvamia kituo hicho akiwa na askari wenye silaha.

VIDEO: Gwajima alivyowasili Ofisi za Clouds Media Group leo kutoa pole.|Itazame

Soma zaidi

Tuesday, 14 March 2017

Baada ya Tbc kurusha habari ya uongo kutoka kwenye KI BLOG kinaachoandika uzushi, udaku uongo eti rais Trump amempongeza Rais Magufuli hatua zimeanza kukuchukulia ambapo wafanyakazi tisa wa TBC

VIDEO: Hii hapa taarifa ya uongo na Majina 9 ya watangazaji waliosimamishwa kazi TBC.|Itazame

Soma zaidi

Saturday, 11 March 2017

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 10 Machi, 2017 ameliongoza Kikao cha Usalama na Maadili cha chama kilichofanyika Chamwino Mkoani Dodoma.

VIDEO: Rais Dkt.John Magufuli ameongoza kikao cha Usalama na Maadili ya CCM mkoani Dodoma.|Itazame

Soma zaidi

Thursday, 16 February 2017

"Eric Omondi- Adam na Eva"

Mchekeshaji wa Kenya Eric Omondi amekuwa na utundu wa kuzirudia na kuziigiza movie na nyimbo za mastaa mbalimbali ambapo wakati huu ameirudia sehemu ya movie ya Adam na Eva wakiwa kwenye bustani ya Eden.

VIDEO: Mchekeshaji Eric Omindi ameirudia "Movie" ya Adam na Eva.|Itazame

Soma zaidi

Tuesday, 7 February 2017

Makonda na Zitto
#Video: Itazame hapa.

VIDEO:Alichokisema Bungeni Zitto Kabwe kuhusu Sakata la Wema Sepetu Kukamatwa na Makonda.|Itazame

Soma zaidi

Monday, 16 January 2017

Mhe. Edward Lowassa

Waziri mkuu Mstaafu, Edward Lowassa leo alikamatwa na jeshi la Polisi wakati akiwa anaenda kwenye kampeni za uchaguzi Kata ya Nkome na baadaye akuachiwa huru ambapo taarifa za polisi zinadai kuwa walimzuia kwa sababu za kiusalama.

VIDEO: Mashuhuda waeleza jinsi alivyokamatwa Edward Lowassa baada ya kuachiwa huru.|Soma

Soma zaidi

Diamond Platnumz na dancers wake wakiingia kwenye stage
Diamond Platnumz na dancers wake, walikuwa miongoni mwa wasanii walioshiriki kwenye ufunguzi wa kombe la AFCON 2017 nchini Gabon ikiiwakisha vyema Tanzania akiwa na wasanii wengine kutoka nchi zingine akiwemo Mohombi na Lumino. 

VIDEO: Itazame hapa video ya Diamond Platnumz akiburudisha kwenye ufunguzi wa AFCON 2017 nchini Gabon.|Tazama#

Soma zaidi

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top