Headlines: JPM: Mkataba TBC, Startimes upitiwe upya| Siri ya majaji kuacha kazi| TAKUKURU kuwachunguza vigogo Elimu| Hoja za jeshi zavuruga hotuba ya upinzani| OCD wa Uvinza auawa nyumbani kwake Dar| Wabunge waungana kutetea bajeti Ulinzi| Waziri wa JK Kortini| Yanga yamaliza kazi ubingwa Ligi Kuu Bara.
Wednesday, 17 May 2017
Tuesday, 16 May 2017
Headlines: Waziri wa JK atishwa kwa risasi| Vitabu feki vyawaponza vigogo Elimu| Magufuli ang'oa mzizi wa miaka 44 Dodoma| Jinamizi la Lowassa bado laitesa CCM.
Friday, 12 May 2017
Headlines: Chadema, CCM waumizana| Wabunge CCM wazidi kunyukana| Kauli za Nape, Kitwanga zatibua nyongo bungeni| Zuma ashusha neema| Majaliwa: Sukari ipo ya kutosha| Afa kwa kuanguka toka ghorofa ya 16| Wabongo kuitwa ajira Afrika Kusini.
Wednesday, 10 May 2017
Headlines: Vyeti feki vyatikisa madaktari, wauguzi Muhimbili| Watano wa familia moja wafa kwa kuangukiwa na mti| Maeneo matatu kikwazo Hotuba ya Lema bungeni| Mzazi: Taifa limepoteza daktari ajali ya Karatu| Mvua yaua familia ya watu watano Arusha| Waziri atajwa sakata la vyeti| Ajira 4,000 zaiva jeshi la Polisi na Magereza| Dk. Shein avutiwa juhudi za Djibouti kuimarisha uchumi| Nilishuhudia gari ikipaa hadi korongoni.
Tuesday, 2 May 2017
Headlines: Udhibiti kodi utapunguza makali kwa wafanyakazi| Magufuli awageukia waliodanganya umri| Magufuli awapa neema tano wafanyakazi nchini| Dar waomba vyeti feki sekta binafsi navyo vichunguzwe| Vyeti feki vyaua wengine waugua ghafla, kizaazaa maofisini leo| Lissu ataja adui wa wafanyakazi| Dk. Shein atangaza neema zaidi.
Monday, 1 May 2017
Headlines: Tetemeko lajirudia tena Kagera| Lissu awasha moto| Magufuli: Niombeeni urais usinipe kiburi| Orodha ya vyeti feki utata mtupu, zahanati Dar yakumbwa| Mbunge na Meya wa Moshi waambiwa hawakualikwa Ikulu, waishia mlangoni| Mvua zaleta maafa Pemba.
Wednesday, 26 April 2017
Headlines: Mgonjwa ajirusha kutoka ghorofani Muhimbili| Mapya yaibuka bosi UN| Wabunge wagoma kukatwa 30,000/-| Lissu pasua kichwa| Mrembo azusha tafrani bungeni| Siri kilichomng'oa bosi wa UNDP zabainika| Ndegevita kupamba Muungano Dodoma| Atakayetoza kupima malaria kutumbuliwa| Kambi ya Lipumba wajianika hadharani| Muungano watimiza miaka 53.
Friday, 21 April 2017
Headlines: Uhai wa Ben Saanane utata| Mahakama yatoa hati Masogange asakwe akamatwe| Madai ya Tucta yatua kwa JPM| Lowassa alaza zege Bungeni Dodoma| Sakata la Lugumi halijachacha| REA yazuiwa nguzo, transfoma za nje| Magufuli kupeleka walimu wa kufundisha Kiswahili Rwanda| Kisa Lowassa uwaziri Mwakyembe rehani| Sakata la Richmond laibuka upya| Majaliwa ataka vyombo vya dola viaminiwe.
Thursday, 20 April 2017
Headlines: Wabunge wahofia njaa| Mashirika manne yafuja bilioni 289/-| Daladala yagonga treni Dar, mmoja afriki dunia| Ukawa waichambua Serikali ya Magufuli| Dk Mwakyembe Joshua Nasari wavurugana| Spika Ndugai ahoji Bashite ni nani?| Wabunge wamtolea uvivu JPM| Usalama wa Taifa wazuiwa bungeni| Madaktari 258 'Kenya' waajiriwa Tanzania| Mtei amfurahia Rais Magufuli.
Wednesday, 19 April 2017
Headlines: Sakata vyeti feki lachukua sura mpya| Wodi ya Wazazi Muhimbili yafurika| Mauaji Polisi Kibiti yatua Bungeni| Utekaji ulivyofunika Bajeti ya Waziri Mkuu| Wapinzani wasema waliotumbuliwa wanalipwa Sh 480 milioni kwa mwezi| Tamisemi yabeba 20% ya bajeti kuu| Lipumba ambeba Slaa CUF| Chnagamoto ufanyaji biashara zaainishwa| Gonjwa la ajabu linavyoua nchini.
Tuesday, 18 April 2017
Headlines: Mwigulu Viongozi acheni kuonea wanyonge| CAG aibua mapya sekta ya elimu| Askari Magereza mbaroni kwa kumpa mimba mwanafunzi| Mauaji polisi nane yazuia wana-CCM kuomba nafasi 2,000 za uongozi| Bajeti tano ngumu zaja| CAG aanika madudu NIDA| Mbaya wa Nape kitanzani| Sugu: Viongozi wa dini hampo salama| Polisi kimya kimya| Spika afunguka kilio cha Mbowe| Utabiri wa Dk. Slaa Chadema watimia| Polisi yakiri vita dhidi ya ukahaba vigumu.
Sunday, 16 April 2017
Headlines: Idadi ya vyeti feki inatisha| Mwigulu ashtushwa wananchi Kibiti kufurahia polisi kuuawa| Kilaini: Hata sisi tunahofia kutekwa| Wabunge CCM wambana Prof Kabudi kuhusu Katiba Mpya| JPM aisimamisha TCU kupanga wanafunzi| Kiama cha Bashite| JPM awaweka roho juu watumishi.
Saturday, 15 April 2017
Headlines: Baba wa Ben Saanane asema wamegonga mwamba| Mwanahabari Isango afariki dunia Singida| Mauaji ya Polisi 8 Si ujambazi wa kawaida| Mch. Rwakatare arudi bungeni tena| Polisi yatangaza operesheni maalumu Kibiti| Serikali: Hakuna ubaguzi utoaji hatimiliki za ardhi| CAG amtega JPM| JPM, CCM ualia na mauji ya askari.