MAGAZETI: Habari za Magazetini leo Jumanne April 11, 2017.|Zipitie
Headlines: Wabunge wahofia maisha yao| Wabunge walia ukata bajeti ya Bunge| Nyumba 100 Chalinze zaharibiwa na mvua| JPM ateua kamati nyingine kuchunguza mchanga| Mapokezi ya Nape gumzo| NSSF yaamua kuachana na magari mashangingi| Roma asimulia siku 3 za hofu, kihoro| Mfumuko bei za bidhaa nchini wazidi kushika kasi| Mapinduzi II yafunga gati Comoro.
0 comments:
Post a Comment