Latest

Monday, 16 January 2017

UTEUZI: Rais Magufuli amewateua Abdallah Bulembo na Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Wabunge.|Soma

Rais Magufuli leo awateuwa Prof. Palamagamba na Abdallah Bulembo kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

 

Aidha rais Magufuli amemteuwa Benedicto Mashiba kuwa Balozi. Kituo cha kazi na tarehe ya kuapishwa kwake kutatangazwa baadaye





























0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved| Templateclue
Scroll To Top