Sunday, 9 October 2016

Rais Magufuli afanya uteuzi mpya TCRA, amemuteua Mhandisi Kilaba kuwa Mkurugenzi.


Rais John Pombe Magufuli amemteua Mhandisi James Mitakayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). 

Mhandisi Kilaba alikuwa akikaimu nafasi hiyo, baada ya uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Dr. Ally Simba kutenguliwa. 

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi amesema kuwa uteuzi huo ulianza jana Jumamosi 09 October, 2016.


0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top