Monday 16 January 2017

VIDEO: Mashuhuda waeleza jinsi alivyokamatwa Edward Lowassa baada ya kuachiwa huru.|Soma

Mhe. Edward Lowassa

Waziri mkuu Mstaafu, Edward Lowassa leo alikamatwa na jeshi la Polisi wakati akiwa anaenda kwenye kampeni za uchaguzi Kata ya Nkome na baadaye akuachiwa huru ambapo taarifa za polisi zinadai kuwa walimzuia kwa sababu za kiusalama. 

 

Kupitia kituo cha Television cha Azam wameripoti habari ya kukamtwa kwa Lowassa ambapo baadhi wa wananchi wameeleza ilivyokuwa.

 

"Tulikuwa kwenye msafara ya kumpokea Lowassa lakini tulipofika hapa stendi wananchi walitaka kuongea na Lowassa, kabla hata hajashuka kwenye gari askari walituvamia wakasema tuondoke moja kwa moja twende kituoni" alieleza shuhuda

 

Sikiliza mashuhuda walichozungumza

 

 

 

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top