Magufuli amelifuta agizo la Mawakyembe la kuwa na cheti cha kuzaliwa kwa watakaofunga ndoa.|Soma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amelifuta agizo lilitolewa jana 16 Machi, 2017 na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Mwakyembe linalotoa sharti la kuwa na cheti cha kuzaliwa kwa watu wote watakaofunga ndoa kuanzia tarehe 01 Mei, 2017.
0 comments:
Post a Comment