Wednesday 22 March 2017

VIDEO: Gwajima alivyowasili Ofisi za Clouds Media Group leo kutoa pole.|Itazame

Leo askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima, Dr. Josephat Gwajima amefika ofisi za Clouds Media Group kwa ajili ya kutoa pole kufuatia tukio la mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kuvamia kituo hicho akiwa na askari wenye silaha.

VIDEO itazame hapo chini:

 

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top