Ridhiwani ahojiwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya.|Soma
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ahojiwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya. Kamishna William Siang’a amesema wanamhoji kila aliyetuhumiwa na ikibainika ana kosa anachukuliwa hatua.
Ridhiwani amedai amefurahi kupata fursa ya kueleza ukweli na imebainika hauzi wala kusafirisha dawa za kulevya.
0 comments:
Post a Comment