Rais Dkt. Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge).|Soma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge) Bw. Uledi Mussa.
0 comments:
Post a Comment