Thursday 9 March 2017

LA Galaxy yapanga kumnunua Zlatan Ibrahimovic kwa dau kubwa zaidi.|Soma

Zlatan Ibrahimovic:

Uongozi wa klabu ya LA Galaxy ya marekani umedai kwamba kwa sasa ina mpango wa kumnunua mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic kwa dau kubwa litakalo mfanya awe ndio mchezaji ghali zaidi wa kulipwa katika Ligi Kuu ya soka ya marekani.

Ibrahimovic alijiunga na United kwa mkataba wa mwaka mmoja msimu mfupi uliopita.

Lakini hata hivyo ni maamuzi ya ihari kwa msweeden huyo ya kuchagua kuondoka au kubakia endapo United watahitaji kufanya mazungumzamo na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kwa 35 .

Mpaka sasa Ibrahimovic aimefunga mabao 26 United katika msimu huu

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top