Watoto 22 na Mwalimu wao wa madrasa Ashura(47) wamekamata na Jeshi la polisi mkoani Pwani kwa kuendesha mafunzo ya kigaidi kwa watoto hao, huko Kimarang'ombe, kata ya Nianjema, Bagamoyo.
Jeshi la polisi limefanikiwa kukuta bomu la moshi katika makazi anayoishi mwalimu huyo.
0 comments:
Post a Comment