Friday, 7 October 2016

Paul Makonda kumpa sh 10 milioni aliyetobolewa macho.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameahidi kumpatia bwana Said Ally aliyevamiwa na nakutobolewa macho kiasi cha sh10 milioni kama mtaji wa biashara atakayoianzisha na kuisimamia baada ya ripoti ya daktari kutoka Muhimbili kudai kuwa bwana Said Ally hatopona tena macho yake.

"Naomba wananchi wengine watakaoguswa na Ally wamsaidie na tutatoa utaratibu maalum namna ambavyo watu watweza kumchangia" alisema Paul Makonda.

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top