Tingatinga ililokuwa likiendesha zoezi kuboboa ukuta wa nyumba wa mkazi mmoja mtaani hapo ambapo ilionekana mifuko miusi ya plastic iliyokuwa na malioni hayo ya pesa yaliyokuwa yamechimbiwa chini ya ardhi na kutapakaa eneo lile na watu kuvamia kuanza kukusanya pesa hizo kadri yao wa wezavyo.
Kwa habari nyingine zaidi usikose kutembelea hapa--->>>http://kwilasa4u.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment