Tuesday, 4 October 2016

Huduma ya "Wi-Fi" kuanza kutumika Dar es Salam

Mama Samia Suluhu ambaye ni makamu wa rais ameizindua mradi wa huduma ya Wi-Fi
katika maeneo ya umma na maeneo ya burudani jiji Dar es salaaam. Utekelezaji wa mradi huo utasaidia katika kuimalisha huduma ya mawasiliano na kuweza kuwafikia watu wengi na kusaidia kukuza uchumi. Mradi huo ni moja ya mikakati ya serikali ya awamu ya tano kuimarisha huduma za mawasiliano na huduma za mtandao kwa wote.

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top