Alichokiandika Mrisho Gambo baada ya taarifa za kutumbuliwa na Rais JPM kuzagaa mitandaoni.
Kufuatia kuwapo kwa taarifa zisizo rasmi juu ya utengezi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, Kufuatia kuwapo kwa tofauti kati yake na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kwenye uzinduzi wa mradi wa Hospitali ya bure ya kina mama uliofadhiliwa na taasisi ya Martenity Africa.
Kupitia ukrasa wake wa facebook Gambo ameandika haya:-
"Mara nyingi ukisikia huyu ana kufa leo au kesho, huwa anaishi miaka mingi zaidi! Nazungumzia utamaduni wetu sisi Watanzania!"
0 comments:
Post a Comment