Taarifa: Jeshi la Polisi limetoa tahadhari kwa Wananchi kuelekea kipindi cha sikukuu ya Pasaka.|Soma
Leo tarehe 13 April 2017: Jeshi la Polisi limetoa tahadhari kwa Wananchi kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao kuelekea kipindi cha sikukuu ya Pasaka.
0 comments:
Post a Comment