Monday, 3 October 2016

Uchaguzi DRC Congo mpaka 2018

Tume ya uchaguzi nchini DRC Congo imeahilisha uchaguzi mkuu nchini humo mpaka hapo
November, 2018 na si mwaka huu tena kama ilivyokuwa ikitalajiwa. Viongozi wa upinzani walioshiriki mazungumzo ya amani ya kitaifa wameafiki uamzi huo lakini wengine wapinga uamuzi huo wakidai ni uchu wa madaraka wa Joseph Kabila kubaki madarakani. Kwa habari zetu zingine ingia hapa--->>>http://kwilasa4u.blogspot.com/

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top