Monday, 15 May 2017

Kufuatia kuendelea kwa shughuli za upanuaji wa barabara ya Airport Jijini Mwanza, watu wamefurika, magari na pikipiki kusimama barabarani kushuhudia mti aina ya "Mwembe" unaosadikika kuwa ni wa maajabu unaodaiwa kuongea, kutoa machozi ya damu na kushindwa kuanguka mara baada ya kukatwa katika eneo la Isenga Shule ya Msingi. 

Sitofahamu hiyo imeanza kusikika toka juzi baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa majaribio mbalimbali ya kujaribu kuukata "Mwembe" huo kushindwa, awali inasemekana kuwa Jeshi la Magareza la Butimba kupitia wafungwa wake kushindwa kuukata mwembe huo kwa maadai ya kuwa wakiukata unalia na kutoa machozi ya damu, aidha jaribio lingine lilifanyika la kuukata mwenbe huo kwa kutumia "Chain Saw" lakini pia ilishindikana baada ya kuukata mwebe huo na kushindwa kuanguaka na jitihada zaidi kuongezwa kwa kuleta Caterpillar kujaribu kuusukuma mwembe huo ili uanguke kushindwa pia na kusababisha Caterpillar hilo kuharibika pale.


Kufuatia taharuki hiyo chombo chetu kilifanya jitihada za kupata ukweli wa taarifa hiyo kutoka kwa wafanyakazi wa eneo hilo ili kudhibitisha ukweli wa taarifa hizo na kubahatika kukutana na mmoja wa wafanyakazi wa eneo hilo 'Kibarua'  ambae jina lake halikufahamika mara moja na kukanusha taarifa hizo kwa kusema:

"Kaka hapa hakuna kitu na tumeshasema sana hamna kitu lakini kwa kuwa sisi watu weusi ni wagumu kuelewa basi acha watu wajae hapa lakini hamna kitu na huu mwembe utaondelewa hapo mara baada ya taratibu kukamilika".


Picha: Mti wa Maajabu wadaiwa kukwamisha shughuli za upanuaji wa barabara Mwanza.|Zitazame

Soma zaidi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 15 Mei, 2017 ameivunja rasmi Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) na ameagiza mali na shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na CDA zihamishiwe Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma.

Rais Magufuli ameivunja rasmi Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA).|Soma

Soma zaidi

Friday, 12 May 2017

Mmiliki wa shule ya Lucky Vicent Arusha Innocent Moshi na Makamu Mkuu wa shule Longino Vicent Nkana wamefikishwa Mahakamani na kusomewa makosa matano.

Mmiliki wa Shule ya Lucky Vicent afikishwa Mahakamani na kusomewa Makosa Matano.|Soma

Soma zaidi

TAARIFA KWA UMMA: Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora inapenda kuwa taarifu wananchi kupuuza habari inayosambaa katika mitandao ya kijamii.

Ofisi ya Rais yakanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusu vigezo vya utoaji ajira.|Soma

Soma zaidi

Benki Kuu ya Tanzania imeifungia Mbinga Community Bank PLC, kusitisha shughuli zake zote za kibenki na kufuta leseni yake ya biashara ya kibenk kuanzia leo Alhamisi 12 mei,2017 huku sababu ikitajwa ni ukata uliyoikumba benki hiyo.

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaifutia leseni na kuifunga benki nyingine.|Soma

Soma zaidi

Headlines: Chadema, CCM waumizana| Wabunge CCM wazidi kunyukana| Kauli za Nape, Kitwanga zatibua nyongo bungeni| Zuma ashusha neema| Majaliwa: Sukari ipo ya kutosha| Afa kwa kuanguka toka ghorofa ya 16| Wabongo kuitwa ajira Afrika Kusini.

MAGAZETI: Habari za Magazetini leo Ijumaa May 12, 2017.|Zipitie

Soma zaidi

Taarifa kwa Umma: Kukanusha Taarifa iliyosambaa katika mtandao wa kijamii wa Facebook kuwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anatoa Mikopo ya haraka.

Kanusho la taarifa iliyosambaa Facebook kuhusu Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete.|Soma

Soma zaidi

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa amesikitishwa sana na matokeo ya uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) uliofanyika bungeni mjini Dodoma kwa upande wa Chadema.

Zitto Kabwe alia na wawakilishi wa Tanzania kwenye Bunge la Afrika Mashariki (EALA).|Soma

Soma zaidi

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top