Friday 12 May 2017

Mmiliki wa Shule ya Lucky Vicent afikishwa Mahakamani na kusomewa Makosa Matano.|Soma

Mmiliki wa shule ya Lucky Vicent Arusha Innocent Moshi na Makamu Mkuu wa shule Longino Vicent Nkana wamefikishwa Mahakamani na kusomewa makosa matano.


Mwendesha mashtaka wa Serikali Rose Sule amesema mnamo May 6 Mmiliki huyo wa shule aliruhusu Dereva kuendesha gari la abiria bila kuwa na leseni ya usafirishaji, kutumia gari bila kuwa na BIMA pamoja na kushindwa kuingia mkataba na Mwajiriwa.

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top