Taarifa ya TANESCO kuzima mfumo wa manunuzi kwa njia ya LUKU nchi nzima.|Soma
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa, Siku ya Jumapili Machi 19, 2017 kuanzia Saa 4 kamili Usiku, tutazima mfumo wa manunuzi kwa njia ya LUKU hadi Siku ya Jumatatu Machi 20, 2017 Saa 3 Asubuhi.
0 comments:
Post a Comment