Thursday 30 March 2017

Utata juu ya Sanamu ya Cristino Ronald waibua mjadala mitandaoni miongoni mwa mashabiki duniani.|Soma


Mashabiki wengi wa mchezo wa kandanda duniani wameshangazwa na sanamu ya mchezaji nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ambayo ilizinduliwa katika kisiwa cha Madeira nchini Ureno na Waziri Mkuu wa nchi hiyo.

Sanamu hiyo ilizinduliwa wakati wa sherehe ya kuupa jina uwanja wa Madeira ambao sasa umekuwa Uwanja wa Cristiano Ronaldo.

Wengi katika mitandao ya kijamii wanasema sanamu hiyo inafanana sana na nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland Niall Quinn badala Ronaldo.


0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top