Friday 31 March 2017

Rais Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa Chadema.|Soma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Dkt. Elly Marko Macha.






0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top