Rais Dkt. John Magufuli amekubali kutoa madaktari 500 kuipatia Kenya.|Soma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekubali kutoa madaktari 500 kuipati Kenya watakaoisadia nchi hiyo kukabiliana na tatizo la uhaba wa madaktari.
0 comments:
Post a Comment