Friday, 17 March 2017

Masha Ajitoa kugombea urais wa TLS atangaza kumuunga mkono Tundu Lissu.|Soma

Mgombea urais wa chama cha wanasheria(TLS), Laurence Masha ametangaza kujitoa kwenye kinyang'anyiro hicho leo.

Masha amesema anaamini uwezo wa Tundu Lissu katika kuiongoza TLS hivyo wanaomuunga mkono wamchague Lissu.

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top