Friday 17 March 2017

Chama cha Wanasheria TLS wanajiandaa kumfuta uanachama Waziri Mwakyembe.|Soma

Katika hali isiyokuwa ya kawaida chama cha wanasheria nchini TLS kupitia wanachama wake wanajiandaa kumfutia uanachama Waziri Mwakyembe kutokana na uamuziwake wa kutaka kukifuta chama hicho.Waziri mwakyembe ambaye pia ni mwanachama wa chama hicho.

Uamuzi huu umetolewa na Waziri wa zamani wa mambo ya ndani Laurent Masha na kuonekana kuungwa na mawakili wengi.

Ikumbukwe TLS kiko katika harakati za uchaguzi na Mh.Tundu Lissu ni mmoja wa wagombea wa Urais katika chama hicho.

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top