MAGAZETI: Habari kutoka Magazetini leo Alhmisi March 16, 2017.|Zipitie
Headlines: Makonda: Sitishwi...Lissu, Wasonga nusura wazichape mahakamani...Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu atumbuliwa...TRA yapiga kufuli ofisi za TFF...Dk Magufuli anavyohamisha mageuzi serikalini hadi CCM...Makonda ajitetea kuhusu Gwajima, Wema Sepetu...Lowassa, Mbowe waendeleza moto...Timu safisha Makonda yatua kijijini kwake...Lema ataka nusu ya wabunge waonje jela.
0 comments:
Post a Comment