FURSA: Wizara ya Afya imezitangaza nafasi za Ajira 500 kutoka Serikali ya Kenya.|Soma
Wizara ya Afya imetangaza nafasi za Ajira 500 kutoka Serikali ya Kenya za Mkataba kwa Madaktari. Watanzania wenye sifa ambao wangependa kufanya kazi nchini Kenya wachangamkie fasta fursa hiyo.
0 comments:
Post a Comment