Thursday 9 November 2017

MPYA
Nafasi za Research Assistants Mitu Mwanza.......

Research Assistants MITU Mwanza.|Apply Now!

Soma zaidi

Wednesday 17 May 2017

Headlines: JPM: Mkataba TBC, Startimes upitiwe upya| Siri ya majaji kuacha kazi| TAKUKURU kuwachunguza vigogo Elimu| Hoja za jeshi zavuruga hotuba ya upinzani| OCD wa Uvinza auawa nyumbani kwake Dar| Wabunge waungana kutetea bajeti Ulinzi| Waziri wa JK Kortini| Yanga yamaliza kazi ubingwa Ligi Kuu Bara.

MAGAZETI: Habari za Magazetini leo Jumatano May 17,2017.|Zipitie

Soma zaidi

Tuesday 16 May 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika makao makuu ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) yaliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Rais Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza (TBC).|Soma

Soma zaidi




Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha katika Serikali ya Awamu ya Tatu, na Mbunge wa Mkuranga, Adam Kighoma Ali Malima amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo akituhumiwa kumzuia Polisi kutekeleza majukumu yake.

Naibu Waziri aliyetishiwa na bunduki jana afikishwa Mahakamani Kisutu.|Soma

Soma zaidi

Wakazi wa Jiji la Mwanza leo walifuriku kushuhudia zoezi la kuung'oa mti aina "Mwembe" ambo awali uligoma kutakwa na kung'olewa. 

Mti huo ambao ulikuwa maeneo ya Pasiansi -Iloganza karibu na shule ya Msingi Isenga ulikuwa ukihusishwa na imani za kishirikina kutoka na majaribio mbalimbli kushindwa kuukata ama kuung'oa mti huo wa mwembe pamoja na kusababisha uharibifu wa Caterpiller iliyojaribu kuusukuma mwembe huo na dereva wake kukimbia kusikojulikana. 


Mara tu baada ya kung'olewa watu walivamia eneo ulipokuwa kuwa mti huo wa Mwembe na kuanza kuchukua mizizi ya mti huo.

Pia kwa taarifa zisizo rasmi inasemekana kuwa watu wote ambao awali walijaribu kuukata ama kuung'oa mwembe huo wapo hoi na wamelazwa hospitalini. 





Updates: Wakazi wa Jiji la Mwanza wafuriku kushuhudia zoezi la kuung'oa mti wa Maajabu.|Soma

Soma zaidi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa viongozi, Ndg. Saidi Meck Sadiki, Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi na Ndg. Upendo Hillary Msuya.

Rais Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa viongozi watatu.|Soma

Soma zaidi

Mchango wa Mbunge wa Kuteuliwa(CCM), Salma Kikwete kuhusu kupinga wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni kuruhusiwa kuendelea na masomo jana ulizua gumzo bungeni kutokana na wabunge kugawanywa na suala hilo.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Salma Kikwete aligawa Bunge.|Soma

Soma zaidi

Headlines: Waziri wa JK atishwa kwa risasi| Vitabu feki vyawaponza vigogo Elimu| Magufuli ang'oa mzizi wa miaka 44 Dodoma| Jinamizi la Lowassa bado laitesa CCM.

MAGAZETI: Habari za Magazetini leo Jumanne May 16,2017.|Zipitie

Soma zaidi

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top