Monday 20 March 2017

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara na Makamu wake Vicky Kamata wamejiuzulu wakidai Serikali inaingilia majukumu yao.|Soma


Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara Dk Dalali Kafumu na makamu wa kamati hiyo Vick Kamata, kwa pamoja wamejiuzulu nafasi zao.

Viongozi hao wameeleza sababu za kuchukua hatua hiyo kuwa ni serikali kuingilia majukumu yao katika utendaji kazi na hivyo wakaeleza kuwa hawaoni sababu za kuendelea na majukumu hayo.

Wamekabidhi barua za kujiuzulu kwenye ofisi ya spika wa bunge jana.



0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top