Monday 23 January 2017

Mashabiki wamgomea Darassa kuachia ngoma mpya.|Soma

Darassa

Muziki imekua ni ngoma ya kihistoria katika maisha ya Darassa pamoja na Bongo Flava kwa ujumla kwa sasa. Naweza kusema ni ngoma ambayo imeishi muda mrefu na bado inazidi kufanya vizuri.


Haikuwa mategemeo yangu kuona watu watagoma kupokea kazi nyingine kutoka kwa mbabe huyo wa ‘Muziki’ ambaye ametumia ukurasa wake wa Instagram kuuliza kama mashabiki wake wapo tayari kupokea kazi mpya. 

 


“Any new about #muziki before to drop another bullet please?” Darassa ameandika kwenye Instagram. 

 


Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki wake kuhusu post hiyo:


luganoh: Class Kwa maana ya soko miezi hii sio mizuri pia MUZIKI bado inafanya vizuri sana subili, endelea kula hela uliyo tengeneza mwaka 2016


runih_ Wahurumiee kidogo hta wapumue pumueee


galasagangijr: Utauwa @darassacmg


mwasandendetaimu: Subiria kidogo mpaka March

benritykev Utaua clax ckilizia kidogo


wema_la_diva: Hatareee we leta tyu


maeza_dam: Acha maneno letee muziki


alikibatz_fans: Noma


djmvungy: Vunga kidogo coz bado muziki ni Wimbo wa Taifa drop new kwny mwez6 hv @darasacmg


samuelnkangala: Usidondoshe kwanza mpaka muziki iishe utamu mwakan


adelicious58: Don’t drop yet muziki is still the talk in two n


tammylians: Hapana subiri tupoe kwanza siavicen Subir baba uwiiiiii muziki bado ni shidaah siuzoei aisee @darassacmg


umbeatz_ Afu wabongo bwana kwaiyo mnataka Darassa atulie adi wimbo wa muziki uchuje? Wimbo wa muziki auchuji leo wala kesho. Darassa angusha lingine


27minjesha: Muziki is still on..subiri kidogo bro..endelea kupiga show kidogo


top_barbie12: Tuleteee mamboooooo


kingkibamusics: @darassacmg vunga kwanz mana #muzik bado inasumbua dunia

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top