Sunday, 6 November 2016

Reno,Nevada-Marekani: Donald Trump atishiwa Bunduki kwenye kampeni.

Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa na siraha ya moto (bunduki) alionekana katika mkutano wa kisiasa wa Donald Trump katika mji wa Reno!


Mtu huyo ambaye ni Mpambe wa Hillary alikuwa amepanga kumrushia risasi Donald Trump! Watu wa usalama walimtoa Donald Trump jukwaani kwa haraka huku mtu huyo akizingirwa na polisi na kufanikiwa kutolewa Ukumbini! 

Utulivu ulirejea na Trump kuendelea kujinadi huku akitoa maneno ya vijembe kwamba hakuna wa kumzui kushinda Urais.

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top