Walimu kuajiliwa kutoka na sifa za taaluma hiyo, Mswaada kupelekwa Bungeni
Serikali ipo mbioni kukamiliasha muswaada wa sheria utakao wa silishwa bungeni hivi karibuni baada ya kukamilika, muswaada huo utaeleza wazi sifa za walimu wa vyuo vikuu, sekondari na msingi.
Hayo yalisemwa jana na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknologia na Mafunzo ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako katika kongamano la kujadili hali halisi ya elimu nchini lililoandaliwa na walimu wastaafu.
0 comments:
Post a Comment