Saturday, 8 October 2016

Kijana aliyeoata mkia baada ya siku 14 kuzaliwa afanyiwa upasuaji India.


Kijana mwenye mkia wa sentimita 20 unaomea chini ya uti wa mgongo amefanyiwa upasuaji ili uondolewe inadaiwa kuwa ulianza kutokea katika mgongo wa kijana huyo wa miaka 18 baada ya siku yake ya kuzaliwa ya 14.

Yeye na familia yake kutoka Nagpur nchini India walifanya swala hilo kua siri kwa sababu walikuwa na wasiwasi angesumbuliwa na wenzake.

Mkia huo unadaiwa kuwa mrefu kuwahi kutokea kwa mwanadamu ijapokuwa visa kama hivyo ni vichache.

''Ulianza kuwa tatizo baada ya kuanza kumea nje ya mwili wake'', alisema mama wa kijana huyo jina.

Chanzo BBC

0 comments:

Copyright © 2017 KwilasaNewsline | We Call Away| All Right Reserved|
Scroll To Top