Prof. Kitila Mkumbo katoa ushauri kwa vijana wanatafuta wenza wao.
Siku hizi kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa vijana hasa linapo kuja suala la kijana kutafuta mwenza wake wakuishi nae au kuoa. Prof. Kitila Mkumbo kaliona hilo na kuamua kuwashauri vijana juu ya suala hilo.....
0 comments:
Post a Comment